Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mzee mwenzangu unaambiwa naona aibu maana nlikata moto kufika home ikaja niaibisha usiku coz nimelala nikaanza rudisha chenchi[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmejisogeza kwa mangi nastuaaa 1 tena niende kwenye pilika

Ova
20190114_080918.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do ooh balaa +noma hilo
I hope watu uliyokuwa nayo hawakukupiga picha au video maana sahv watu wanapenda sifa[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]uzuri nimekuja kata moto nyumbani kabisa wife ndo anajua kizaa zaa chote hapa enyewe yuko ananihubiria eti niache pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uzuri nimekuja kata moto nyumbani kabisa wife ndo anajua kizaa zaa chote hapa enyewe yuko ananihubiria eti niache pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Dah noma wife kanuna
Hawakawi kusema ulewe njeee shida uje unilete mm....
Mm hapa kwa mangi nishakataa bia kama upepo yaani
Si unajuaa mida hii

Ova
20190114_081142.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwili wako uko vizuri yani unapiga bia na kahawa!!?mm nikiamsha na bia spigi kitu tena kama kahawa au chai labda nipige supu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuna ustaz mmja kavamia kijiwe anajua tunakunywa kahawa[emoji23] ngja tunampa dk 15 Meza itabadilika na pombe muda wote hapa mwenyewe atakimbia......hapa

Ova
20190114_085022.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom