Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Ngoja siku ntatupia vyombo alafu nipige na kahawa nione reaction yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja siku ntatupia vyombo alafu nipige na kahawa nione reaction yake.
Si unamuona hapo alafu mwnyekiti wetu wa mtaa.......sisi tumemwambia tunaunga mkono kauli ya mkuu wetu wa dar wa kukataa maji masaa 24 ila tunakunywa kwa nidhamu maana bia tumeziweka chimbo hpa yeye mwenyewe yuko hapa alikuwa hazioni
Safi ukiamka amsha na kahawaNgoja siku ntatupia vyombo alafu nipige na kahawa nione reaction yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lakini mbona nliskia kama Makonda kawaruhusu mnywe mwanzo mwisho baa zifunguliwe masaa yote kama zamani!? Au alikua anawazuga!?Bwana ehh ashaanza kushtuka anasema mmeweka bia chini tena kahawa juu
Kmbe hapa si mahala pngu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh bado haijawa confirmedHivi lakini mbona nliskia kama Makonda kawaruhusu mnywe mwanzo mwisho baa zifunguliwe masaa yote kama zamani!? Au alikua anawazuga!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh bado haijawa confirmed
Mzee hapa yenyw hyu hatumuamini [emoji23] [emoji23]
Wanatumaga sms utashangaa askari Jamii haoo [emoji23] [emoji23] ila tushamtuliza mapema
Hapa aache ukuda bia zipo hapa lkn chimbo
Kahawa juu zuga tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Me sjawahi kunywa zaidi ya 5Wadau kuna ubishi unaendelea hapa. Eti kwa kawaida mtu unaweza kunywa Castle Milk au Guinness ngapi per day
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu10 ni ngumu kumaliza coz naonaga kama ina nguvu flani hivi ukipiga nyingi mapigo ya moyo yanabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah tushagairi kwenda kwenye mihangaiko10 ni ngumu kumaliza coz naonaga kama ina nguvu flani hivi ukipiga nyingi mapigo ya moyo yanabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshachkua advance ya mtu nshamtia sound [emoji23][emoji23][emoji23]
Tojo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishamtanguliza mtu hkoNenda kapige kazi mzee usilaze damu