Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Safi mwenyekitiBamboo Kibaha mailimojaView attachment 977908
Safi mwenyekitiBamboo Kibaha mailimojaView attachment 977908
Bado una hangover [emoji28][emoji28]Wadau hatimaye leo naliona jua baada ya jana kupita bila kujua kilichokuwa kinaendelea.
Ningesimulia yaliyonikuta, embu ngoja kwanza sikukuu ziishe,
Nimedharirishwa kwa kusambazwa mitandaoni
Nimekagua jicho liko vizuri tuu, lakini sasa hivi naletewa mali zangu baada ya kuruhisiwa kwenye drip, huko kwenye nyumba za wageni ambazo vitanda vyake vinaongoza kwa gharama hapa nchini.
Kitu cha kwanza nakuta watu wamenitumia picha yangu wasap sasa hivi ndio naiangalia,
Nisiseme uongo huu uzi umenitenda haya.
Sasa nilijikuta nakemea mle ndani masikini ya Mungu sijuagi hata wanaanzia wapi!!!
Sikukuu zikipita nitawapa mkasa mzima.
Vipi jamani kama kuna madaktari humu nikitupia vipi ntakauka au ??
Niwashauri unataka kuwa bwaaaa au kulewa acha kunywa bore uwe kiwanja kilicho karibu na hospital.
JTI near samak samak..hapa bondeni kidogo ..pale opp na flomi ni front view..
Aise zimueni kakaKumekucha tunaanzia kitandaniView attachment 977893
Nimepotea njia wadau...endeleeni na kikao.
Hayo ni mateso bila chukiDaah kilichonikuta jana ni kwere tulikata majipaba 2.5 ...kwanza simu ilidumbikia chooni nikakosa mawasiliano, nimerudi home saa 4 nikajitupa kitandani nimeshtuka saa 9 usiku nakumbuka ki locomotive structure nimekiacha nje nimelala na viatu vurugu tupu hapa ninaitibu simu yangu kwa mchele huk nimeingia gharama ya kupata mawasiliano , na ninaendeleza mashambuliziView attachment 977892
hahaha me sikai hapo..ulikamatwajr?samak.ht mkae wanawake 10 meza 1 wanajua mnauza😏Samaki samaki pa kipumbavu saana
Nilipiga vyombo pale, nikajikuta nakamatwa na dolia kahumba
Bapa ukipiga kuna muda unasikia mainzi kichwani yanazunguka dizaini vitu vinataka kutoka.... Kuna kipindi tulikua wawili tukaangusha 4....Mkuu nilianza saa 6 mchana
ha haaa! kaumba ulienda kufata malaya!Samaki samaki pa kipumbavu saana
Nilipiga vyombo pale, nikajikuta nakamatwa na dolia kahumba
Mnafanya biashara ya viberitituacheni utani POMBE ni tamU!!View attachment 977896
weka oda nikuletee mzeeeMnafanya biashara ya viberiti
Hongereni sanaNko na Kelvin x mekus sahvi
Tumekutana
Ova
Umeshanza
Kula bata na katibunipo moshi wapi iyo katibu?
Mkuu yule mwenzetu aliyefungiwa store vp!? Unahabari nae kama alishatoka!?
Mkuu kwema!!?
Huyu jamaa sidhani kama yuko salama... Maana last seen saa mbili..
Huenda alizingua huyu.
Huenda alimeza mai kupitiliza. Pengine katundikiwa drip