Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau hatimaye leo naliona jua baada ya jana kupita bila kujua kilichokuwa kinaendelea.

Ningesimulia yaliyonikuta, embu ngoja kwanza sikukuu ziishe,
Nimedharirishwa kwa kusambazwa mitandaoni
Nimekagua jicho liko vizuri tuu, lakini sasa hivi naletewa mali zangu baada ya kuruhisiwa kwenye drip, huko kwenye nyumba za wageni ambazo vitanda vyake vinaongoza kwa gharama hapa nchini.
Kitu cha kwanza nakuta watu wamenitumia picha yangu wasap sasa hivi ndio naiangalia,

Nisiseme uongo huu uzi umenitenda haya.

Sasa nilijikuta nakemea mle ndani masikini ya Mungu sijuagi hata wanaanzia wapi!!!
Sikukuu zikipita nitawapa mkasa mzima.





Vipi jamani kama kuna madaktari humu nikitupia vipi ntakauka au ??


Niwashauri unataka kuwa bwaaaa au kulewa acha kunywa bore uwe kiwanja kilicho karibu na hospital.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mdau
 
Bosi sikujua kinachoendelea tena

Mnisamehe kwa kuwaweka roho juu

Niliishia kulaani na kukemea

Cha kushangaza wametoka wote wanasema wameenda kumuita mchungaji.

Sasa niliapa kwamba sito gusa tena labda mpaka sikukuu zipite na huu uzi nisiutembelee tena, cha kushangaza ka roho kana kimbia na wakati nilijiapiza.
Haina namna itabidi tuu wakija niwambie sihitaji kwanza sio imani yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bodi (Helsb)inabana mi ni vikali mpaka 2020
Bila shaka umepost hii pic under influence, kama vipi njoo kinondoni nikupige hata mbili mkuu!
20181226_152027.jpeg
 
Aseee mdau niambie
Mbona leo hutu tu watu tunakuja ni tweusi na hatueleweki??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mdau
 
Aseee huwa napenda kukata rock, mbona sikuku ya mwaka mpya ikilwa vizuri..

Ngoja mi nipige hata kamoja kisha nilale baadae mtanihathia sikukuu ilikuwaje

Huu mwaka ushakuwa wangu
Ndugu tulia kwanza urejeshe kumbukumbu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom