Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Gambe
IMG_20181226_153841.jpeg
 
Mkuu wewe ndio yule aliyezima ametanua miguu mwingine juu ya meza mwingine kwenye sakafu? Kama ni hivo nakuunga mkono kwa uamuzi wako!
Mimi ndio mwenye jina na avatar hapo juu,kwa hiyari yangu bila kulazimishwa na MTU, kuanzia tarehe 25/12/2018 nimeamua rasmi kuachana na matumizi ya pombe.NAWASILISHA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom