Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_1063.JPG

Baada ya kushuka machame kwa bibi Nsiakwe. Napoza koo kidogo hapa maeneo ya stendi nikijiaandaa kwenda Chuga kumalizia Christmas. Karibuni wakuu.
 
Daah kilichonikuta jana ni kwere tulikata majipaba 2.5 ...kwanza simu ilidumbikia chooni nikakosa mawasiliano, nimerudi home saa 4 nikajitupa kitandani nimeshtuka saa 9 usiku nakumbuka ki locomotive structure nimekiacha nje nimelala na viatu vurugu tupu hapa ninaitibu simu yangu kwa mchele huk nimeingia gharama ya kupata mawasiliano , na ninaendeleza mashambulizi
IMG_20181226_140242_5.jpeg
 
Daah kilichonikuta jana ni kwere tulikata majipaba 2.5 ...kwanza simu ilidumbikia chooni nikakosa mawasiliano, nimerudi home saa 4 nikajitupa kitandani nimeshtuka saa 9 usiku nakumbuka ki locomotive structure nimekiacha nje nimelala na viatu vurugu tupu hapa ninaitibu simu yangu kwa mchele huk nimeingia gharama ya kupata mawasiliano , na ninaendeleza mashambuliziView attachment 977892
Saa 4 ulikua chakari hii hatari....
 
Wadau hatimaye leo naliona jua baada ya jana kupita bila kujua kilichokuwa kinaendelea.

Ningesimulia yaliyonikuta, embu ngoja kwanza sikukuu ziishe,
Nimedharirishwa kwa kusambazwa mitandaoni
Nimekagua jicho liko vizuri tuu, lakini sasa hivi naletewa mali zangu baada ya kuruhisiwa kwenye drip, huko kwenye nyumba za wageni ambazo vitanda vyake vinaongoza kwa gharama hapa nchini.
Kitu cha kwanza nakuta watu wamenitumia picha yangu wasap sasa hivi ndio naiangalia,

Nisiseme uongo huu uzi umenitenda haya.

Sasa nilijikuta nakemea mle ndani masikini ya Mungu sijuagi hata wanaanzia wapi!!!
Sikukuu zikipita nitawapa mkasa mzima.





Vipi jamani kama kuna madaktari humu nikitupia vipi ntakauka au ??


Niwashauri unataka kuwa bwaaaa au kulewa acha kunywa bore uwe kiwanja kilicho karibu na hospital.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom