Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu jana nimemaliza mseto ya malaria, vipi leo naruhusiwa kugonga vitu? Maana najaribu kuvumilia ila nahisi kama roho inatoka.


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿบ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŽ‡๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿบ
 
Kumbe uko hawaiii kisiwani mi nikajua pale baruti
Hahahaha, baruti bana
I wish too dear natamani nianze kuanda venue kabisa naona watu wanaogopa
Wazo zuri
ah sidhan km ni lazkma tuwepo wote..mie am in..
Mie na angalia nafasi lini nitakua mjini ,ratiba ikinikuta mjini ,naibuka km mzuka
[emoji23][emoji23]ww umepropose january..tuipangr tu ila.jan pagumu sana sana...tufanye ht feb au april
Ni kweli January ni ngumu April /March iko poa ,sasa place ni wapi ?
 
Dukan kwa Mangi
IMG-20181225-WA0032.jpeg
IMG_20181225_171749.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20181225_171749.jpeg
    IMG_20181225_171749.jpeg
    73.7 KB · Views: 23

Similar Discussions

Back
Top Bottom