Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Bodi (Helsb)inabana mi ni vikali mpaka 2020
 

Attachments

  • 1545812022306.jpeg
    1545812022306.jpeg
    55.7 KB · Views: 32
Watu wasiojulikana lazima waje nao wengi ili wawaone live mkoje mkoje nyie mnaowasumbua vichwa kila kukicha.
Watakuwa wanatumia hisia:Huyu atakuwa ndo Mshana au Nyani Gabu nk wanakupoteza unaenda unaminywa mapumbu mpk utaje jina lako halisi na feki la humu hakuna rangi mtaacha kuona.
Mimi kweli siji mtanipa mrejesho huku.Nawatakia sikukuu njema
hahahahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom