Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,112
- 100,601
Porini raha sana,kuna askari kaamua tu kupiga risasi juu,kusheherekea sikukuu ya Noeli
Sema Hornet kuna kapicha umijiselfisha umetuma huku upo hot [emoji7][emoji7][emoji7] tuishie hapa, nishaanza kulewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..kuna mchizi m1 aliniombaga pic..nikamtumia naye akanitumia[emoji23][emoji23][emoji23]misuli sasa mikonon jaman naiangaliaga ile pich[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...khaa nitaifukunyua nitakutumia piyemu uyaielewa tu nahakika[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂👊waitBado naisubiria eti....
Hahaha unataka ukirudi mama Mwanri akupige barua
Porini raha sana,kuna askari kaamua tu kupiga risasi juu,kusheherekea sikukuu ya Noeli
Mkuu jana nimemaliza mseto ya malaria, vipi leo naruhusiwa kugonga vitu? Maana najaribu kuvumilia ila nahisi kama roho inatoka.
Kwa niaba yake
Unaruhusiwa dawainaishi mwilini kwa masaa nane tu
[emoji482][emoji482][emoji482][emoji483][emoji481]
Bado naisubiria eti....
Nimecheka jaman.mm.hahahajShukrani mkuu nilikua nasubiria hili jibu tu
Njoo[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]Najaaaa
Natamani sana hiyo siku kama itawezekanaWazo zuri sanaa
Mkemia unauaaaaaMerry Christmas ,wadau naona mdau ana mix mambo kdg View attachment 976819
Nasubiri hiyo sikuAhsante Sana, nikiwa tayari nitakuambia
I wish too dear natamani nianze kuanda venue kabisa naona watu wanaogopa[emoji23]mie nawish sana hyo siku...tunywe bila kujibana bana wee sijui uangalie kwanza kina mega pixel wameagiza nn..aku unaywanga kwa raha zako..ukizidiwa unasaidiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Natamani sana hiyo siku kama itawezekana
Njoo[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
ah sidhan km ni lazkma tuwepo wote..mie am in..I wish too dear natamani nianze kuanda venue kabisa naona watu wanaogopa
Anzisha mipangilio [emoji23][emoji23]Ni mipango tu