Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Kabisa, mi naona tutafute siku yetu rasmi tushereheke pamoja kila mtu afike na hela yake ya kunywa na kula tutafahamiana hapo hapo kama members
hilo neno...safi sana
Kabisa, mi naona tutafute siku yetu rasmi tushereheke pamoja kila mtu afike na hela yake ya kunywa na kula tutafahamiana hapo hapo kama members
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..kuna mchizi m1 aliniombaga pic..nikamtumia naye akanitumia[emoji23][emoji23][emoji23]misuli sasa mikonon jaman naiangaliaga ile pich[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...khaa nitaifukunyua nitakutumia piyemu uyaielewa tu nahakika[emoji23][emoji23][emoji23]
Wazo zuri ila mijinga ya serikali ya wakandamizaji isije ikaingia kinyemela kuharibu pati has a kwa sisi wakosoaji.Kabisa, mi naona tutafute siku yetu rasmi tushereheke pamoja kila mtu afike na hela yake ya kunywa na kula tutafahamiana hapo hapo kama members
Nashukuru ninekuenda nesina vecha.Nawaombea sana
Nitafly kutoka mwanza kuja, tujue tu tarehe mapema nianze kutafuta ticket ya dili[emoji23]mie nawish sana hyo siku...tunywe bila kujibana bana wee sijui uangalie kwanza kina mega pixel wameagiza nn..aku unaywanga kwa raha zako..ukizidiwa unasaidiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Hahahaha, wengine tunakosoa serikali za maziwa makuu huko ,wasije kufika hadi hapoWazo zuri ila mijinga ya serikali ya wakandamizaji isije ikaingia kinyemela kuharibu pati has a kwa sisi wakosoaji.
ukiongelea mwanza dah..nàpataman kweli kweliNitafly kutoka mwanza kuja, tujue tu tarehe mapema nianze kutafuta ticket ya dili
Hahaha unataka ukirudi mama Mwanri akupige baruaNikiona jina lako nakumbuka nilivyokua naenda kunywa banana kilala
Sijaona bia hata [emoji28][emoji28][emoji28]
Hawatabiriki hawa na walivyopewa kiburi watuue, sijui lubuva alikua na nia gani?.Hahahaha, wengine tunakosoa serikali za maziwa makuu huko ,wasije kufika hadi hapo
Uchochezimimi na ww hornet hatutakiw kuishi mtaa m1..hivi ndo nilikua naandika hapa comment kuwa kisigino kilainii[emoji23][emoji23][emoji23] hahahaha haha nimefanya had kuzoom..khaaa
Nitafly kutoka mwanza kuja, tujue tu tarehe mapema nianze kutafuta ticket ya dili
Hahahaha, bana weeHawatabiriki hawa na walivyopewa kiburi watuue, sijui nchi lubuva alikua na nia gani?.
Binafsi nimeisave
Hahahaha, bana wee
Kazi ni kwako Mkuu
😂😂ubeberu..Uchochezi
😂😂😂😂 usishangae.mie mwenyew nilianza na mguu kwanza..easy tu mkuu
Hana hela huyo achana nae acha wana wanywe biaKikao cha dharura wadau... Kuna mahali tunasengenywa Nilichogundua: JF ina walevi wengi sana!! - JamiiForums
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]