platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,538
Huoni kama utakuwa umepata bahatiHahahaha, ile ukinywa ina hamia chini ,asee nimeogopa ,tuko pamoja halafu ueanze kusema unataka kushuka nyegezi ,itakua noma
Huoni kama utakuwa umepata bahatiHahahaha, ile ukinywa ina hamia chini ,asee nimeogopa ,tuko pamoja halafu ueanze kusema unataka kushuka nyegezi ,itakua noma
Kabisa katibu mamito nawatamani jamani tukae pamoja tunge enjoy sana
Hahahaha, bahati ya mtende?Huoni kama utakuwa umepata bahati
Hahahaha, ile ukinywa ina hamia chini ,asee nimeogopa ,tuko pamoja halafu ueanze kusema unataka kushuka nyegezi ,itakua noma
Mkitaka inawezekana bado upo likizo rafiki kwani huendagi piknikHahahaha kwa JF hii? Wewe uko A Town, mm niko porini hapo itakuaje?
au umepangaje?
Hahahaha, full chaji 200%Kwani network low?
Leo pilau hakuna chomachoma tuuuuuNakuja kula pilau jirani niliemtegemea kaghairi kupika
Hahahaha, piknik naendaga RafikiMkitaka inawezekana bado upo likizo rafiki kwani huendagi piknik
Hahahaha, full chaji 200%
Najaaaa
Wazo zuri sanaaWadau natamani siku moja tuandae kaparty ketu mahali tukamate ulabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa kama mweka hazina nawakaribisha wajumbe itapendeza january please
Najitolea usafiri na malazi bure
Karibu sana A townHahahaha
Na angalia km nitaweza kuja 'Kill Marathon 2019 ' then nisogee A Town
Sent using Jamii Forums mobile app