Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Watu wasiojulikana lazima waje nao wengi ili wawaone live mkoje mkoje nyie mnaowasumbua vichwa kila kukicha.
Watakuwa wanatumia hisia:Huyu atakuwa ndo Mshana au Nyani Gabu nk wanakupoteza unaenda unaminywa mapumbu mpk utaje jina lako halisi na feki la humu hakuna rangi mtaacha kuona.
Mimi kweli siji mtanipa mrejesho huku.Nawatakia sikukuu njema
[emoji23][emoji23][emoji23].... Mimi wasipate shida ya kuumiza kiwanda changu cha nyegezi.. Jina langu ndio hilo hilo
 
Mshana Jr naomba article yako juu ya kila binadamu ina muda wa kupata matatizo. Mwaka wa... Tafadhali itume tena...
 
Merry Christmas ,wadau naona mdau ana mix mambo kdg
IMG-20181225-WA0040.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom