Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_1650.JPG
 
[emoji23]mie nawish sana hyo siku...tunywe bila kujibana bana wee sijui uangalie kwanza kina mega pixel wameagiza nn..aku unaywanga kwa raha zako..ukizidiwa unasaidiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
Kabisa, mi naona tutafute siku yetu rasmi tushereheke pamoja kila mtu afike na hela yake ya kunywa na kula tutafahamiana hapo hapo kama members
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom