Ebhanae hongereni sana
Kazi yenu ni njema
Mmeshika namba 3 kibara[emoji23]
Kazeni mpande juu kileleni.
Heshima kwenu
Jack Palladino mwenyekiti Mkuu
Mkemia wa walevi TBS Mzee wa taste Kingfisher
Fortnox katibu
geraldincredible mjumbeView attachment 2770824
Na walevi wengine wote hongereni [emoji482]
Wakuu, nataka nibadirishe beer.
1. Nilianza Castle Lite, sijaipenda radha.
2. Nikaamia Heineken. Radha sio nzuri.
3. Nikaja Guiness nikawa na mix na Coka, yaani haileweshi nikinywa dry chungu mno.
4. Nimeanza Flying Fish naambiwa ya kimama. Ila radha sio mbaya.
Haya niamie wapi?
Nataka ambayo sio chungu sana.
Njooo kwa budweiser [emoji95][emoji1635]
Njooo kwa smirnoff black ice.. ila uwe umekula ukashiba… bieree yenyewe ni tamu hatari.
Kusema kweli nadhani nitastick kwenye hii hii. Kwanza classy, pili sweet, tatu haina harufu.Ile na utamu wake ni balaa[emoji23]
Inakuvuta unywe tu maana ni tamu, untakiwa uwe umeshiba vizuri[emoji38]
Kusema kweli nadhani nitastick kwenye hii hii. Kwanza classy, pili sweet, tatu haina harufu.
Unatafuta nn huku 😂Mlevi kwenye ubora wake
Huna baya dada
Unatafuta nn huku [emoji23]
Nauza washing machine jumla na rejarejaNatafuta nguo nikafue[emoji57][emoji23]
Nauza washing machine jumla na rejareja
Nikienda utaishije?Kwendaaaa[emoji38][emoji38]
Nikienda utaishije?
Your wish is my command...Ule ushibeeee
1st rule.
Smirnoff haina shida mbona ulishiba.ila ukilewa ile yenyewe lazima kesho uone kichwani umemeba nguzo [emoji1787][emoji1787]
Mshana naomba smirnoff 2 Mshana Jr
Pole sana mdau uliumia sana?Nasikitika kusema ni muda sasa siko pamoja nanyi kwa kweli nimemic mambo ya chama , nlipata ajali ninatumia dawa ni muda sasa naishia kuzizoom tuu kwa fwasi ya dwas mpaka nakaribia kuwa mzoefu wa maji na juice.
ndio maeneo ya kifuan nlivimba maji ndani maeneo ya diafram sijui nimepatia