Sasa utaweza kuzimudu maana unakunywa zenyew zinawai chiniHivi zinapandisha nyege? Nimekosa hanson choice nikachukua hii
Kilimanjaro hutajutiaWakuu, nataka nibadirishe beer.
1. Nilianza Castle Lite, sijaipenda radha.
2. Nikaamia Heineken. Radha sio nzuri.
3. Nikaja Guiness nikawa na mix na Coka, yaani haileweshi nikinywa dry chungu mno.
4. Nimeanza Flying Fish naambiwa ya kimama. Ila radha sio mbaya.
Haya niamie wapi?
Nataka ambayo sio chungu sana.
Karibu unywe fanta orangeWakuu, nataka nibadirishe beer.
1. Nilianza Castle Lite, sijaipenda radha.
2. Nikaamia Heineken. Radha sio nzuri.
3. Nikaja Guiness nikawa na mix na Coka, yaani haileweshi nikinywa dry chungu mno.
4. Nimeanza Flying Fish naambiwa ya kimama. Ila radha sio mbaya.
Haya niamie wapi?
Nataka ambayo sio chungu sana.
Wakuu, nataka nibadirishe beer.
1. Nilianza Castle Lite, sijaipenda radha.
2. Nikaamia Heineken. Radha sio nzuri.
3. Nikaja Guiness nikawa na mix na Coka, yaani haileweshi nikinywa dry chungu mno.
4. Nimeanza Flying Fish naambiwa ya kimama. Ila radha sio mbaya.
Haya niamie wapi?
Nataka ambayo sio chungu sana.
Karibu unywe fanta orange
Juice ya embe.
Achana na pombe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hii sio ya kishua? Bei kaliJäegermeister
Hahaha hapana aisee. Asante.Karibu unywe fanta orange
Juice ya embe.
Achana na pombe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipo Fisher ,We binti mzuri upo?
Yaani unahangaika kutafuta kuunguza maini.Hahaha hapana aisee. Asante.
Atakuua huyoHii sio ya kishua? Bei kali
Hafu Monday fanya mchakato nipate harufu ya kishua..Atakuua huyo
Ni sumu hiyo, wanakunywa walevi waliokubuhu.
Dah iyo labda mwisho wa mwezi.
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Dah iyo labda mwisho wa mwezi.