Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,209
Sasa hii ndo mida ya kupiga ngumu ngumu.
HahahhahaHadi saa nane to 10 kasoro magodoro yatakuwa yamekauka [emoji3][emoji23]
Hongera sana mzee
@mshanajrWakuu Naomba Kuuliza, Hivi Fine Naweza Lipa Kidogo kidogo, Mfno : Elfu Tano tano hadi Deni Likaisha?
Inaruhusiwa kabisa lakini isiwe kidogo sanaWakuu Naomba Kuuliza, Hivi Fine Naweza Lipa Kidogo kidogo, Mfno : Elfu Tano tano hadi Deni Likaisha?
Itakua anaongelea wanae[emoji848]Maneno ya waziri hiyo jana
Kk watoto wa ushuani hawa ataweza kaa chimbo zetu?[emoji28][emoji1787][emoji1787]
[emoji106][emoji1666]jiko ni muhimu sn broUwekezaji ni pasua kichwa acheni tu.. Hii joint ikikamilika waalikwa wa kwanza ni members wote wa huu mtaaView attachment 2759592View attachment 2759593
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamfundisha mdogomdogoKk watoto wa ushuani hawa ataweza kaa chimbo zetu?[emoji28][emoji1787][emoji1787]
Liko kwenye ratiba[emoji1545][emoji106][emoji1666]jiko ni muhimu sn bro