Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,759
- 870,541
- Thread starter
- #27,321
[emoji818][emoji419][emoji375][emoji173]Kifungua kinywa View attachment 2772509
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji419][emoji375][emoji173]Kifungua kinywa View attachment 2772509
Halafu inaongeza damu na vitamin cSaint Anne castle milk stout Ni tamu Anza kunywa Tz tupande mpaka nambari wani kileleni
Umetuangusha sana hapa. Lifa zingeongezekaKaza kaza tufike pale juu kileleni😂
ISO M.CodD ungekuwa umeshanifundisha pombe huenda saa hizi tungeshika namba moja.
Kumbe ! Basi nitaendelea kuichagua
Hapa ndio muhimu [emoji23]
Yaani mtu anaweza kudhani ni kweli😂😂😂Saint Anna sio kali
Amarula ni milk ndio lakini sio sweet kabisa
Smirnoff ni full sweet kama sprite
I love wine jamani… jaribu na Lions Hill.. kama umezoea pombe chungu hizo utaona ni juice
nimerudi kwenye vigumu .. wine labda katikati ya wiki ,ila weekend lazima niyumbe 😁I love wine jamani… jaribu na Lions Hill.. kama umezoea pombe chungu hizo utaona ni juice
Enjoyyyy 😂😂nimerudi kwenye vigumu .. wine labda katikati ya wiki ,ila weekend lazima niyumbe 😁
View attachment 2774474
😋😋😋mshamba_hachekwi njoo tukazie siku 😂View attachment 2775535
Of a kind prefereed by women,
Karibuu
Hii ina bei ganimshamba_hachekwi njoo tukazie siku [emoji23]View attachment 2775535