Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,935
- 236,490
KaribuHafu Monday fanya mchakato nipate harufu ya kishua..
KaribuHafu Monday fanya mchakato nipate harufu ya kishua..
Njooo kwa budweiser 💥🥂Wakuu, nataka nibadirishe beer.
1. Nilianza Castle Lite, sijaipenda radha.
2. Nikaamia Heineken. Radha sio nzuri.
3. Nikaja Guiness nikawa na mix na Coka, yaani haileweshi nikinywa dry chungu mno.
4. Nimeanza Flying Fish naambiwa ya kimama. Ila radha sio mbaya.
Haya niamie wapi?
Nataka ambayo sio chungu sana.
Hiyo chupa 1 tu my kaka unalewa chakari 🤣🤣Dah iyo labda mwisho wa mwezi.
Ni tamu kweli? Isiwe na uchungu, bia ni starehe sio mateso.Njooo kwa budweiser 💥🥂
Njooo kwa smirnoff black ice.. ila uwe umekula ukashiba… bieree yenyewe ni tamu hatari.
Smirnoff black ice ni tamu kabisa yanNi tamu kweli? Isiwe na uchungu, bia ni starehe sio mateso.
Naenda kuijaribu La CassaSmirnoff black ice ni tamu kabisa yan
Ila ina hangover za ujazo ukilewa sana
😂😂😂🥂Naenda kuijaribu La Cassa
Smirnoff black ice ni tamu kabisa yan
Ila ina hangover za ujazo ukilewa sana
Nipo Fisher ,
Mambo
Atakuua huyo
Ni sumu hiyo, wanakunywa walevi waliokubuhu.
Yes
Nitajaribu.. Nife tuYes
Bar elf 5.
Hufi wala hataNitajaribu.. Nife tu
Kiuuuu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Njoo tuzimue [emoji23] Mshana Jr View attachment 2748182
Izi zina 40% izi, pafu la pili nishataja password za bank hadi mpesa.View attachment 2748195
Hamia huku