Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,209
Uzi pendwa. Tupiamo muda huu upo wapi?
Sundown njombe[emoji482]Uzi pendwa. Tupiamo muda huu upo wapi?
Mbeya Pazuri MbeyaUzi pendwa. Tupiamo muda huu upo wapi?
Aanze kufunga baa yake ile ya vingunguti pale relini kwanza, sis tunakunywa pale ye anatuchoraManeno ya waziri hiyo jana
Naweza kukubaliana na wewe hata zile pombe zinazotoka malawi huwa ni noma sana. Nadhani hadi zipigwa marufuku Tanzania.
Hii bia iko vizuri sana jana usiku nimevinyonya 14 nimeamka asubuhi niko fiti kama jana hakikutokea kituView attachment 2759445
Tumeianzia humu weekend.
Jana nilikuwa na demu flan hapo HD night club akawa ananishawishi twende sundown anasema iko poa,lakini hatukwendaSundown njombe[emoji482]
Sundown njombe[emoji482]
Valuer na cocaAnayejua cocktail ambayo haitakua na harufu ya kilevi kabisa msaada, nafanya kazi mazingira magumu na nimezoea kufanya kazi nikiwa nimestua kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uje hapa johari rotana tusheherekee kuingia tatu BoraEbhanae hongereni sana
Kazi yenu ni njema
Mmeshika namba 3 kibara[emoji23]
Kazeni mpande juu kileleni.
Heshima kwenu
Jack Palladino mwenyekiti Mkuu
Mkemia wa walevi TBS Mzee wa kutest@Kingfisher
Fortnox katibu
geraldincredible mjumbeView attachment 2770824
Na walevi wengine wote hongereni [emoji482]
Kaza kaza tufike pale juu kileleni😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uje hapa johari rotana tusheherekee kuingia tatu Bora
Mkuu tukijikaza hii December na KILI Marathon tunaongoza chati[emoji38][emoji38][emoji38]Kaza kaza tufike pale juu kileleni[emoji23]
ISO M.CodD ungekuwa umeshanifundisha pombe huenda saa hizi tungeshika namba moja.
Na walevi wengine wote hongereni[emoji23] ni wanywaji dada[emoji23]Ebhanae hongereni sana
Kazi yenu ni njema
Mmeshika namba 3 kibara[emoji23]
Kazeni mpande juu kileleni.
Heshima kwenu
Jack Palladino mwenyekiti Mkuu
Mkemia wa walevi TBS Mzee wa taste Kingfisher
Fortnox katibu
geraldincredible mjumbeView attachment 2770824
Na walevi wengine wote hongereni [emoji482]