Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tumeonewa sisi sio wa kunywa lita 10 tu kwa mwaka….hii lita 10 ni ya usiku mmoja [emoji23]
JamiiForums1627477037.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwasikiliza walevi, unaweza dhani kuwa kweli ni tamu🤣kumbe!

Tuliolelewa na soda tuendelee tu
Pombe ni kipajj, siyo kila mtu anacho🙌..

Tz 3runner kwa ulevi duniani🔥
 
Give a trial
Ukikuta chungu tunakulipa.
Smirnoff black ice.
mlinambia St Anna tamu
Amarula sijui amalura ipo kama
Maziwa


Akiyanani harufu tu nikarudisha change.


Nilishakata tamaa 🤣
Ngoja ntajaribu hii black ice
Huenda nikaweza kweli,, Tz tupande pale juu kileleni.
 
mlinambia St Anna tamu
Amarula sijui amalura ipo kama
Maziwa


Akiyanani harufu tu nikarudisha change.


Nilishakata tamaa 🤣
Ngoja ntajaribu hii black ice
Huenda nikaweza kweli,, Tz tupande pale juu kileleni.
Saint Anna sio kali

Amarula ni milk ndio lakini sio sweet kabisa

Smirnoff ni full sweet kama sprite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom