Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,848
- 209,771
Acha pombeJamani mbona siku hizi nikionja hata chupa 2 tu tumbo linauma,nakimbiza mwenge na kutapika! Ni nini shida?
Kaka Mshana nifanyeje hapa?
Acha pombeJamani mbona siku hizi nikionja hata chupa 2 tu tumbo linauma,nakimbiza mwenge na kutapika! Ni nini shida?
Kaka Mshana nifanyeje hapa?
Uuuwi niepukane nalo hili.Nitafanyaje sawa? Imetimia mwezi,kila nikionja hata nusu chupa ni tumbo kuuma.Kuna mtu kaniambia nyongo imezidi.Mungu wangu sio vidonda vya tumbo kweli hivyo? Jaribu kucheki tafadhali
Nawaza hivo,ila ni mtumiaji wa kawaida Sanaa na si siku zote natumia.Acha pombe
Pole… pombe sio tamu. Pombe tamu na nzuri ni wine glass 1 tu au 2.Nawaza hivo,ila ni mtumiaji wa kawaida Sanaa na si siku zote natumia.
Umeamkaje hapo lakini?
Nyongo ikizidi pia inaweza kuunguza utumbo na kusababisha vidondaUuuwi niepukane nalo hili.Nitafanyaje sawa? Imetimia mwezi,kila nikionja hata nusu chupa ni tumbo kuuma.Kuna mtu kaniambia nyongo imezidi.
Ngoja nitazingatia ushauri wako kaka wa kucheki
Mkuu kuna ile video jamaa kavuliwa nguo kisa mke wa mtu naiomba inbox
Alooo 😂😂😂Aah wapi bila kisichana kimoja na safari 4 hivi sijaona kama nimetoa lock
Hii mada sijaipenda
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
SafiSIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA!🧏[emoji2533]🧏[emoji2533][emoji3601]
1 - Mazoezi ni dawa.
2 - Kufunga ni dawa.
3 - Chakula cha asili ni dawa.
4 - Kicheko ni dawa.
5 - Mboga na matunda ni dawa.
6 - Usingizi ni dawa.
7 - Mwanga wa jua ni dawa.
8 - Kuwapenda wengine ni dawa
9 - Kujipenda ni dawa.
10 - Shukrani ni dawa.
11 - Kuacha kosa ni dawa.
12 - Kutafakari ni dawa.
13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa.
14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa.
15 - Fikra sahihi ni dawa.
16 - Kumtegemea Mungu ni dawa
17 - Marafiki wazuri ni dawa.
18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa.
19 - Kunywa maji mengi ni dawa.
20 Moyo wenye amani ni dawa
Kunywa dawa hizi za kutosha na ni mara chache sana utahitaji zile za maduka ya dawa.
Ndio muda mzuri Mkuu maana wanakuwa waneshalewa,hata mukijumuika hupat hasaraMida hiyo hata wangekuwepo wadau ingekuwa ngumu kutafutana [emoji23]
Do you have a significant other? Is there anyone who has told you uache au upunguze pombe any time in the recent past? Is there any food or drink ambayo hua unapewa ule before you go out kupata hiyo moja warm na ya pili baridi?Jamani mbona siku hizi nikionja hata chupa 2 tu tumbo linauma,nakimbiza mwenge na kutapika! Ni nini shida?
Kaka Mshana nifanyeje hapa?