Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Msaada waungwana..ninasumbuliwa na nyongo kali sana+ hangover isiosha siku ya nne...hakuna chakula kinachopanda nikjaribu kula narudisha...ni mwendo wa kikohoz kikali hadi sauti imeisha...hiii ni baada ya kufakamia ma k vant new year...yaan hadi nimechukia pombe..wadau lwa anaejua..nimejaribu energy.soda karibia zote..daaah walaiii chamotoo nakiona

Kwanza pole, kabla hujala chochote ulitakiwa upate maziwa fresh ya moto kikombe cha robo au nusu lita. Baadae ulitakiwa upige kachumbari yako yenye nyanya, tango la kutosha, kitunguu maji, karoti, hoho na limau ya kutosha, hapo ungepumzika kidogo halafu lunch unapiga ugali na dagaa wakavu waliokaangwa vyema wasiwe na michuzi kesi ingeishia hapo
 
390ddce8-e193-451c-9006-d265a3ff36ca.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom