Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 623
Uzi una fans wakutosha
Ndio watu mko na ulevi mzito hivi 😄Sawa, Mwenyekiti Umesomeka, Ila Nna Kiu Balaa
Hiyo kiu ni balaa 😁Kiu...
Si kweli 🤣Inategemea na eneo... Kwa mfano Arusha ndio bia yao
Umetembea kwenye madangura kama hapo chuga picnic malaya zimechiloka mbayaMbeya pazuri.....mbeya
Essence.............iringa
Bambalaga.........dom
Champion...........manyara
Picnic.................chuga
Juliana..............dar
Ze atla .............shy town
Hizi ndio sehemu niliofika nzuri
Leo Nitapita Juliana, Sijaenda Muda Sebuleni! KwanguMbeya pazuri.....mbeya
Essence.............iringa
Bambalaga.........dom
Champion...........manyara
Picnic.................chuga
Juliana..............dar
Ze atla .............shy town
Hizi ndio sehemu niliofika nzuri
Chunga zisikutupe nawe pia!Nimepita kwa Muhindi, Bei Za Kutupa View attachment 2497432
Helder man n