Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Pamoja kamanda enjoy life.Poa relax muwe mnasema location mkifika maeneo mageni tuushe moyo
Pamoja kamanda enjoy life.Poa relax muwe mnasema location mkifika maeneo mageni tuushe moyo
Mkuu huna helaBaada ya kufanya tathmini ya 2022 na kugundua hakuna hata kimoja nilichofanya nikaona nipoteze mawazo kwa staili hiiView attachment 2461071
Nope! Ipo ila matokeo yamekua kinyume na matarajioMkuu huna hela
Hawa kweli wametisha!Hawa wadau wametoa bokoView attachment 2466181
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Ayo mambo ya tarumbeta kunasiku nilijichanganya nikaanza safari nikapita mbugani Serengeti nikapanda mlima Kilimanjaro nikaingia kwenye jumba la Castle kubwakubwa nikavagaa K Vant kwa kupiga tarumbeta dakika iyoiyo nilirudisha chench nahisi kulikuwa na ushindani tumboni nani mbabe nani mnyonge atoke maskini ubishani wao nikatoa sembe nililopiga before.
Ubaya sikunywa maji baridi nikaenda kulala wewe nilishikilia kitanda kwa mikono yangu maana nilihisi napaa sasa nikaona apa ning'ang'anie hiki nachopaa nacho [emoji28][emoji23][emoji23]
Pombe sio chai wakuu nililia sana nikihisi ndo napaa hvyo.
Hope hua una kula nyama/mchemsho au supu ya kutosha na maji mengi kabla ujajitungua hvyoSio rahisi Mkuu, nilianza na safari nikaona hola,nikaja kvant hola( nakunywa chupa mbili kubwa mwenyewe), valuer nayo mpaka nimix na Gin but hola, black label nayo hola, nmefikia level Double kick 5 nakunywa napiga na safari au nyagi ndogo ndo nalewa. Kilevyi ni balaa Sana