Tusiache pombe jamani tunywe tuimalize vizazi vijavyo wasiikuteWatu watano wamefariki katika Kijiji cha Nambilanje Wilayani Ruangwa, Lindi baada ya kunywa dawa waliyopewa na Mganga wa tiba asili, Shigela Malehe(39), ili iwasaidie kuacha pombe.[emoji24]
This was the best beer!!!!!
Hahahah[emoji23]Tusiache pombe jamani tunywe tuimalize vizazi vijavyo wasiikute View attachment 2501550
[emoji28][emoji28]Tusiache pombe jamani tunywe tuimalize vizazi vijavyo wasiikute View attachment 2501550
Aseee
Chief utadondosha maini tumboni😀😃
Walitaka kuleft groupWatu watano wamefariki katika Kijiji cha Nambilanje Wilayani Ruangwa, Lindi baada ya kunywa dawa waliyopewa na Mganga wa tiba asili, Shigela Malehe(39), ili iwasaidie kuacha pombe.[emoji24]
Kunywa maji mengiWenzamgu dawa ya kupunguza uriq acid ni ipi??
Dadeq safari siku hizi zinanyweka, unakatana na bia ina siku tano toka iwe bottled. Kitu bado kibichi kabisa
Hii kitu ni[emoji91]nyama choma hasa nundu ni muhimu sn wakti unamwagilia moyo na hii kitu!
Mkuu usije ukawa umewekewa dawa ya kuacha pombeUuuwi niepukane nalo hili.Nitafanyaje sawa? Imetimia mwezi,kila nikionja hata nusu chupa ni tumbo kuuma.Kuna mtu kaniambia nyongo imezidi.
Ngoja nitazingatia ushauri wako kaka wa kucheki