Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 746
- 843
Kamilisha kwa kula tunda kimasihara tu mkuu[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna chupa nazionaga kanisani wanaita meza ya BWANA zinafanana na ninazozionaga bar
Kuna chupa nazionaga kanisani wanaita meza ya BWANA zinafanana na ninazozionaga bar
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa huko for only a week mkuu,next time nitakucheki.Njoo hapa mtaa simba au kwa sweaty manka tuendelee kuchangia kodi za serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe ni tamu Ila hangover ni kisanga[emoji848]tokea asubuhi ni Mimi na maziwa mgando na tangawizi chakula aiendi
Hadi kazini nimesingizia naumwa
Kuacha Sasa ndo mziki [emoji1787]nimepata mpaka anxiety hangover hata kutoka nje siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa huko for only a week mkuu,next time nitakucheki.
Sweaty Manka ana chura sio mchezo sema sijawahi kunywa kwake sababu ya makelele,huwa namuona nikiwa nakunywa hapo Pama kwa nje..