KUSHOKA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 517
- 193
View attachment 1336614Nmelialia mpaka nmeletewa desperado moja na msamaria mwema. Daah Kweli January[emoji22]
PoleView attachment 1336614Nmelialia mpaka nmeletewa desperado moja na msamaria mwema. Daah Kweli January😢
Kitu imeshabagazwa hapa...
Umelewa,acha ubishi.Kapige supu...Traffic Uliyenikamata Asubuhi, Roundabout ya Bandari, Mungu Anakuona, Kweli Nimevunja Sheria, Ila La Kulewa Ulinisingizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Traffic Uliyenikamata Asubuhi, Roundabout ya Bandari, Mungu Anakuona, Kweli Nimevunja Sheria, Ila La Kulewa Ulinisingizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah iyo kitu huwa ina maajabu yake,Eehh mungu nihurumie mimi kijana mlevi.
Nashndwa ku escape Liquidyy, karibun Magic moment maana naona magic happens everywhere... [emoji482]
Sent using Samsung s10
Kana nini mkuu? Kuna mtu hapa kaniganda kweli kweli nimnunulie.Haka Ka wine haka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3] [emoji106][emoji106][emoji120][emoji120]Kanachochea sana ushawishi wa kungekeuka
Jr[emoji769]
Leo ajabu..