ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 442
- 506
Hapana situmii kiongozi.. ila huyo mdau ni ajabu kumuona anakunywa bia..
Hii mike Pompeo atakuwa ameiona kwa darubin zake.
Sisi wananchi wa JMT tunalidhishwa na utendaji wao.View attachment 1343859
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, na Wavuta bangi je???Ukiamka na hangover kula ndizi mbivu, ukishindwa isage kwenye blender na maziwa unywe kama milk shake.
Pata supu yenye viazi mviringo au Irish potatoes.
Kula nyanya hasa cherry tomatoes kama utaweza kula na salad au kavu zenyewe kama tano hivi.
Usisahau kunywa maji. Unapokunywa pombe unakojoa sana na mwili unapoteza virutubisho muhimu pamoja na maji. Hi ndiyo sababu unachoka.
Sio upate chupa nyingine asubuhi usukutue na kuondoa hangover ? Hahahahahahah kweli kuna walevi na wanywaji.Ukiamka na hangover kula ndizi mbivu, ukishindwa isage kwenye blender na maziwa unywe kama milk shake.
Pata supu yenye viazi mviringo au Irish potatoes.
Kula nyanya hasa cherry tomatoes kama utaweza kula na salad au kavu zenyewe kama tano hivi.
Usisahau kunywa maji. Unapokunywa pombe unakojoa sana na mwili unapoteza virutubisho muhimu pamoja na maji. Hi ndiyo sababu unachoka.
mm kuna mtu aliniambia ukitaka uamke usiwe na hang over aliniambia kabla ujanywa pombe inabidi unywe maji mengi na nyama choma ukimaliza piga pombe ujisikiavyo hata ulale saa alfajiri ukiamka asubuhi usikii pombe hang over kuna siku moja nilijaribu niliona matokeo yake na ukiamka ukala ndizi mbivu ndio usahau kabisa hang over
Sent using Jamii Forums mobile app