Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Uvumilivu umenishinda kabisaHahahah uvumilivu umekushinda kamanda?
Kuacha pombe ni wito mazee.
Uvumilivu umenishinda kabisaHahahah uvumilivu umekushinda kamanda?
Kuacha pombe ni wito mazee.
Nn kimekusibu tena kiongozi!?
Mwenyekiti, Katibu na Wadau nilipotea Hapa Katikati, Sio Kwamba Nilikua Sipati Ugimbi, Napata ila Nazima, Nina Story Ndefu Ya Kushare Nanyi, Siku Kichwa Kikiwa Sawa Nitawaletea
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio Uwezo Wako wa Kufikiri UlipoishiaUlifanyiwa ki umber rutty au?
HaahahahaaKweli mkuu nimeamini kuacha pombe ni ngumu mno.
Ndio mkuu,Ila viapo nimevivunjaHaahahahaa
...
Kumbe uliweka viapo!??
Mshana junior rikiboy kwenye ule Uzi wetu wa tunda anakukuta soon[emoji12][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaha.Ndio mkuu,Ila viapo nimevivunja