Hii makitu Imenigomea kabisa
Sio upate chupa nyingine asubuhi usukutue na kuondoa hangover ? Hahahahahahah kweli kuna walevi na wanywaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pweza beach
Jr[emoji769]
mzee we ni wa msata hadi mtwara wajua vilinge vyote.
aisee ni pazuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu kuacha mazima pombe is next to impossibleNimerudi kwa kasi ya 4g View attachment 1359912
Nimerudi kwa kasi ya 4g View attachment 1359912
Kweli mkuu nimeamini kuacha pombe ni ngumu mno.