Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mdogomdogo the weekend is here
IMG_20200307_132335.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen!nikiwa pande hizo ntakucheki hopefully April or June

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitacheki ratiba Boss kama nitakuwa around dsm. Naona kapapenda sana hapa nexus hataki kuondoka, maana wadada wazuri huwa wanakuja na kusepa kama ulikuwa mteja mzuri since mwanzo miaka ya 2017 kuna pisi moja nzuri sana ya kuitwa devotha alikuwa ananihudumia vizuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom