Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Lipa kodi kwa maendeleo ya kununua wapinzani[emoji41]
1575714129913~2.jpeg
 
Asee huyo Rc Makonda naona kawanyoosha watu wa dar, yaani nlishangaa eti mtu unauziwa bia kama vile unauziwa bange,unatakiwa ujifiche fiche,kama hali kote ndio hivyo kama nlivyoona basi wanywaji/walevi wa dar wanateseka
Nenda Samaki samaki nenda Hyatt nk....
hutokutana na hayo mauza uza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom