Kmoto hiyo mkuuDaaaah!!
Nishaanza kusikia njaa[emoji39][emoji39]
Nn[emoji6]Hapana
Ilikua pale Leon's garden kwenye kitimoto paleJirani wapi hiyo
Huyo dada wa kaunta sura sio ngeniMdo Mdo.. [emoji1548]View attachment 1277115
Hapa Sumni au Tripple KLeo nipo Tengeru nakunywa Smirnoff Ice Black View attachment 1269384
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hatari sana, mitungi gani hiyo mpaka unatapika damu [emoji30] ,au maini yalichubuka huko ndani dah[emoji1]Siku moja tuliamua kulipa kodi na jamaa yangu moja hivi. nilipoana mambo si mambo nikawahi nikasepa yeye akaamua akeshe. kulipokucha akaelekea mjegoni. kufika mida ya saa tano akanipigia simu tukalianzishe kwake. nikazuga mpaka saa kumi nikaenda tukaanza kupiga mixer ya bia na wisky. ilivyofika saa mbili usiku nikaondoka kuingia viwanja. baada ya nusu saa napigiwa simu nirudi jamaa ana hali mbaya. kwenda nikakuta anatapika damu.
alikuwa analia kama mtoto yaani jamaa anaogopa kufa yule [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nikikumbuka nacheka mpaka basi.
Whisky io itakuwa Ni kitoko😂[emoji1] [emoji1] [emoji1] hatari sana, mitungi gani hiyo mpaka unatapika damu [emoji30] ,au maini yalichubuka huko ndani dah[emoji1]
Sikuwa mimi bibie ni baharia moja hivi. hakuweka foundation wakati anachanganya kemikali.[emoji1] [emoji1] [emoji1] hatari sana, mitungi gani hiyo mpaka unatapika damu [emoji30] ,au maini yalichubuka huko ndani dah[emoji1]
Laga ishakukataa boss temana nayo tuJamani mimi nina tatizo la kutapika sana asubuhi baada ya kunywa vodka ama gin ama brandy yoyote usiku. Yani nikiamka asubuhi natapika hadi damu wakati mwingine, mwanzoni sikuwa na hili tatizo, yaani hata nikichanganya na bia bado naumwa yani kuna siku nashindwa hata kuamka. Kuna mtu ameshawahi kutana na hii kitu? Tunaishindaje?