mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 853
- 1,701
Naaam,,ijumaa inaanza hivi..
Cc #HomeAlone
Cc #HomeAlone
Kwa mangi ndio kwenyeweHivi Dar mbona mna maisha magumu hivi yaani kulipia kodi mpaka ifike saa 11.
Yaani imebidi nisonge kwa mango mafichoni kupata kitu roho inapendaView attachment 1283692
Mzee wa tunguli location yako
Asee huko wana mambo ya ajabu sana,juzi nlikua huko week nzima, sasa nimeamka hotelini nimepata breakfast nataka nizimue/nitoe lock eti hawauzi pombe asubh.nimemind nimeenda sehem ingine wameniuzia ila uhudumu anasema mimina unywe chap maana tutakuja kukamatwa,sasa najiuliza pesa hujui nataftaje utanipangiaje muda wa kunywa!!!!?sisi huko arusha hiyo kitu tulishapotezea mda wowote tunakunywa pombeHivi Dar mbona mna maisha magumu hivi yaani kulipia kodi mpaka ifike saa 11.
Yaani imebidi nisonge kwa mango mafichoni kupata kitu roho inapendaView attachment 1283692
[emoji3]Tena lile la kanisani linalosema kwa For better or Worse till death do us apart. [emoji16] [emoji16]
Badae uje kwa mrombo tule mbuzi mkuu na haka kamvua finyango inashuka balaaWadau wa Arusha leo nipo kwenu hapaa...
AFRICANA BAR...Alie karibu aje apate hata TUBIA TUWILIView attachment 1284054
Alafu wameshindwa kuandamana kabisa.Asee huko wana mambo ya ajabu sana,juzi nlikua huko week nzima, sasa nimeamka hotelini nimepata breakfast nataka nizimue/nitoe lock eti hawauzi pombe asubh.nimemind nimeenda sehem ingine wameniuzia ila uhudumu anasema mimina unywe chap maana tutakuja kukamatwa,sasa najiuliza pesa hujui nataftaje utanipangiaje muda wa kunywa!!!!?sisi huko arusha hiyo kitu tulishapotezea mda wowote tunakunywa pombe
Asee huyo Rc Makonda naona kawanyoosha watu wa dar, yaani nlishangaa eti mtu unauziwa bia kama vile unauziwa bange,unatakiwa ujifiche fiche,kama hali kote ndio hivyo kama nlivyoona basi wanywaji/walevi wa dar wanatesekaAlafu wameshindwa kuandamana kabisa.
Bahati nzuri Leo weekend na kesho pia
Shunie ,kumbe unakula bia[emoji28][emoji28]Mate yamenitoka pamoja nipo kwenye dose
Ndio ndio mkuu nakunywa [emoji847] mimi ni nani nisinywe beer ilivyo tamu ya baridiShunie ,kumbe unakula bia[emoji28][emoji28]