Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
Daaaah!!Acha tuianze weekend. KaribuniView attachment 1277103
Nishaanza kusikia njaa😋😋
Daaaah!!Acha tuianze weekend. KaribuniView attachment 1277103
Mmmh hii ni bongo kweli!?
Wapi hapa....
Hahahaha ,sogea kwa rasta hapa contena ,tuendeleeKaribun tips
Home alone View attachment 1278086
Hahahaha ,sogea kwa rasta hapa contena ,tuendelee
Acha tuianze weekend. KaribuniView attachment 1277103
Mla gambe wa Dodoma njoo tujumuike pamoja,nipo Sinza A kwa Mnama,hapa Kisasa
Ndugu mweka hazina nachemsha finyango
Hahahaha, Rafiki uko wapi ? Kwema lkn ?Nakutafuta kwa darubini rafiki
Hahahaha, Rafiki uko wapi ? Kwema lkn ?
Nipo Rafiki, niko kwa Shayo hapa ,long time hatujaonana sasa tuna kikao ,karibu mweka hazinaKwema sana njoo mitaa
Nipo Rafiki, niko kwa Shayo hapa ,long time hatujaonana sasa tuna kikao ,karibu mweka hazina
Karibu sana Rafiki, nishakaribia ni vurugu tu mjiniAise nilikumiss sana siju huu ubusy umetokea wapi
Karibia mapumziko ya xmas yanakuja