Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ooh yeah... Tuombe Mungu IPO siku tutakutana tuu
Bro, kila wakati naazimia tukutane hapo hapo ila ratiba zina ingiliana, ila ipo siku tutaonana tu, kila mara ninakuwepo dar, na hapo nyama choma huwa nazungukia sana. Tatizo ratiba ya ma boss wetu.
 
Inside Bar...
 
Attachments

  • IMG_20191209_170412.jpg
    IMG_20191209_170412.jpg
    208.8 KB · Views: 12
Wakuu leo nlikuwa maeneo ambayo niko crowded kidogo kulikuwa na kikao flan tumekaa kuyajenga mawili matatu sasa kiu ikawa imebana baada ya kutoka maofisi c nkaomba ruhusa ya kwenda dukan kwa kisingizio cha vocha aisee nimefika dukan jamaa c anasema hana chenchi nimempa 10 nlikuwa nataka nichukue kaschana(Valeur) kadogo niguse nirud.

Nkaona isiwe kesi nkatoka 2000 nkamwambia anipe Toti ya valeur akaniambia kuna pombe inaitwa Diamond cjui na rivvela aisee c nkachukue hyo diamond dah! Ni kelele wakuu hii ngoma nimegusa hii chupa ya tatu yan tumbo inawaka moto nimeingia hapa kweny kikao kila wanachoongea nasapoti tu mpaka nimeona nichomoke kwanza nkatulie pemben... ***** kitoko cjui Diamond[emoji86] mara rivela ...

Alaf kuna ingne inaitwa shujaa wa mashujaa dah kumbe huku ndo madreva toyo, makonda, mafundi, waalimu wanapoponea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo zote ni gongo zilizofanyiwa featuring....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sishauri kabisa kufanya hivi... Anayekuja kuuumia ni huyo mhudumu ambaye mshahara wake haufiki laki na nusu kwa mwezi.... Unaweza kupata laana ya bure mkuu
Kuna formula mpya ya kukwepa bili siku hizi.We ingia bar agiza kunywa weeee hafu muagizie na muhudumu hata bia 3 hafu angalia gape sepa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo nlikuwa maeneo ambayo niko crowded kidogo kulikuwa na kikao flan tumekaa kuyajenga mawili matatu sasa kiu ikawa imebana baada ya kutoka maofisi c nkaomba ruhusa ya kwenda dukan kwa kisingizio cha vocha aisee nimefika dukan jamaa c anasema hana chenchi nimempa 10 nlikuwa nataka nichukue kaschana(Valeur) kadogo niguse nirud.

Nkaona isiwe kesi nkatoka 2000 nkamwambia anipe Toti ya valeur akaniambia kuna pombe inaitwa Diamond cjui na rivvela aisee c nkachukue hyo diamond dah! Ni kelele wakuu hii ngoma nimegusa hii chupa ya tatu yan tumbo inawaka moto nimeingia hapa kweny kikao kila wanachoongea nasapoti tu mpaka nimeona nichomoke kwanza nkatulie pemben... ***** kitoko cjui Diamond[emoji86] mara rivela ...

Alaf kuna ingne inaitwa shujaa wa mashujaa dah kumbe huku ndo madreva toyo, makonda, mafundi, waalimu wanapoponea
Kitoko,Rivela,Shujaa,Shmha(hii ipo zaidi Kanda ya ziwa Ilo balaa lake sio la kitoto Kama ulikuwa na homa iliyojificha inaonekana kesho yake baada ya kunywa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom