Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Yes, ni huyo jamaa inakuaje mpk anatapika damu aisee, alienda hospital? Huduma ya kwanza ulimfanyia nini[emoji1] ,na foundation ni Chakula eeh?
Hakula kwa siku nzima alafu akachanganya ilembaya. Usiku likuwa anakunywa Konyagi + Kilimanjaro. kulivyokucha akachanganya kilimanjaro + Wisky + Sigara mpaka usiku wa saa nne pale Israel alivyo mbipu

Foundation ni chakula kabla ya kupiga tungi.

Tuliconsult ma DR kama wawili hivi wote wakasema apige msosi tu.
Nest day alikwenda hospital akaambiwa hivyo hivyo.
 
Hatari sana hiyo mixer, Israel angempigia ohoo, hadi walevi wazee vijijini huku wanafahamu kama foundation ni muhimu before mitungi, yeye anapigaje kavu hivo duh. Vipi hajaokoka na kuacha pombe after...[emoji3] [emoji3]
 
We mwanamke pombe inaachajwe kirahisi hivyo ni kama vile agano la ndoa
Hatari sana hiyo mixer, Israel angempigia ohoo, hadi walevi wazee vijijini huku wanafahamu kama foundation ni muhimu before mitungi, yeye anapigaje kavu hivo duh. Vipi hajaokoka na kuacha pombe after...[emoji3] [emoji3]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom