Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Dah huu uzi sijapita kitambo...
Sema watu kama wanataka utosa hivi kulikoni?
 
View attachment 1245284
Juice ya Kijani.
Baadae mambo mazitoo... niwe maji kama tanki ... jicho zekunduu zigeuze rangii..[emoji23][emoji23]

....duh, tunatofautiana, hii bia igeuze jicho liwe jekundu!!!!? Bia isiyoweza hata kukufanya uteme yai kama mjukuu wa malkia!? Bia ukiangalia tarehe unagundua imetengenezwa jana inauzwa leo.
 
Naombeni ratiba ya Leo jpili

Wapi pana mdudu nzuri
TV kubwa kuangalia mpira
Totoz nzuri nzuri


NB : Bia huwaleta marafiki kufurahia maisha pamoja

Nawatakia Jumapili Njema
....njoo huku bwalo la maafisa wa Magereza, utapenda ila toto nzuri nzuri njoo nazo mwenyewe. Rais za huku kila 8 kati ya 10 ziko silaha
 
Wasalaam,jamani Mimi kunapombe siziwezi kwa mfano nikinywa safari 4 Niko hoi kabisa zingine kama kawa 7,8,9
 
Ndio kama hivyo tena
Screenshot_2019-10-27-11-45-29.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom