Dah... Jana iyo eeh...View attachment 1221995
[emoji39] [emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39]Kama KenyaView attachment 1222512
Uko wapi nijongeeKama KenyaView attachment 1222512
Hivi limao huwa zinasaidia nini kwenye gambe?.msaada tafadhari.Jioni njema,acha Leo nile ngumu coz naumwa na kifua na ndo nimeambiwa dawa ni konyagi.View attachment 1200891
Angalau ingekua jumatatu ila kwa leo hapanaWote tuseme amenView attachment 1222559
Angalau ingekua jumatatu ila kwa leo hapana
SahihiUnakwama wap mkuu...lazima baadae tunywe ili kuisherekea siku hii muhimu duniani
Hizi takwinu ni kweli? Tunakwama wapi kwenye kunywa?View attachment 1222566
Hizo Lita 32.. Si makisio ya wiki tu hayoWote tuseme amenView attachment 1222559
Hizo Lita 32.. Si makisio ya wiki tu hayo
Around lita 5 hivi na hiyo ni siku moja tuu... Mimi mwenyewe bila valuer 2 na kiki 3 bado sijajisikiaKila ijumaa nakunywa safari ndogo 16...hizo ni sawa na lita ngap?
Around lita 5 hivi na hiyo ni siku moja tuu... Mimi mwenyewe bila valuer 2 na kiki 3 bado sijajisikia
Sent using Jamii Forums mobile app