The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 566
Terminal ThreeMitaa ya Airport kuna kiwanja gan maeneo ya Karibu
Kigamboni kwa MwingiraIko Wapi Hii Mkuu
....shida ya konyagi mwitu haina TBS. Leo utakuta alcohol 20%, kesho inapanda hadi 45%, keshokutwa inashuka hadi 15%, mtondo inatiwa maji alcohol inashuka hadi 5%. Inakuwa vululuvululu tu, utadhani homa ya vipindi.....Wakuu, asikwambie mtu, konyagi mwitu (white/chozi la simba/waragi/ngumu kumeza) sio masihara, glass mbili tu unajikuta unaanza kuongea kilingala
Mheshimiwa naona abiria wa sabena Express umewafaurisha Kwenye bombardier. Kweli pombe ni pombe bora myumboNiko kiwanja changu cha siku zote "The luxe" Kwa aunty Ezekiel...View attachment 1237586
Hapana sipatii picha moyoo unavyoo zunguka. Maana energy ni balaaLeo Ni Energy DayView attachment 1241710
Dah jana niliishia kulike tuuNipo Ibungu Mabibo Mwisho nalipa kodi View attachment 1243663
Ibungu Mabibo Mwisho nalipa kodi mdogo mdogo
Wadau nimewaziba huwezi jua wametokaje home View attachment 1245212
View attachment 1245284
Juice ya Kijani.
Baadae mambo mazitoo... niwe maji kama tanki ... jicho zekunduu zigeuze rangii..[emoji23][emoji23]