popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,623
Sikujua bro,
Acha niachane nayo asee
Acha niachane nayo asee
Haileti udindifu kama zingine.... Inalegeza
Haileti udindifu kama zingine.... Inalegeza
Kwanini mkuu
Chalinze hiyo au?Kong'ole mwana waneView attachment 1237309
Kaa mjini siku moja moja mzee au mizimu haitaki?Hii ngoma kwamfipa muda huu
Skonyo[emoji41] nini hiyo mzee[emoji851][emoji851][emoji851]tatizo skonyo nyingi mjini
Iko Wapi Hii MkuuNdio natoka Endless Pub kigamboni kwa Mwingira Leo nilivuka Maji, Naelekea home Mabibo