Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Am done
IMG_20191101_190012_9.jpeg
 
Wadau naombeni dawa ya kuacha pombe,mana naacha week,au 2weeks then nakuja na speed ya tren ya standard gej! Pombe,pombe,cjui umewekewa nn jmn unanimaliza kijana wawatu?
Sema nn..ngoja nkapige moja baridiiii ya mwisho mwishoo! Coo limeanza kuwasha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we uko kama mm,yani napigana vita kuiacha ila vita hivyo nashindwa vibaya mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom