Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Muhudumu vipi hapo.
25 per night with condom! Bila condom anataka 50k kwahyo kupanga ni kuchagua
Muhudumu vipi hapo.
Basi kwa mwendo huo asubiri 'wanaume kutoka mashariki, magharibi- kaskazini na kusini ... Waletwe na upepo wa kisulisuli... waletwee katika mlima wa motooooooo... wangaliwe wasichana wetu wawawoweeeee...Katika jina la ...'25 per night with condom! Bila condom anataka 50k kwahyo kupanga ni kuchagua
[emoji23][emoji23][emoji23]mpaka kubwa
Njoo the luxe
Mzee hii ni bar yako nn!?Namalizia maombolezo ya Kumbukizi kwa Hayati Mwl Nyerere hapa king'ole night Club kigogo Luhanga View attachment 1233164
[emoji23][emoji23][emoji39][emoji108][emoji123][emoji91][emoji91][emoji123][emoji91][emoji95][emoji298]Hakuna kitu kigumu kama kuacha pombe asee,nimepambana kuacha ila shida ilikua ikifika weekend nikijichanganya maeneo yetu pendwa watu wanabugia tungi mm napambana na maji!!!!daaah leo yamenishinda narudi kundini rasmi maisha ndo haya haya nimejitesa karibia miezi 2 bila tungi,acha niburudike tu
[emoji123][emoji123][emoji108]Maisha ni haya hayaView attachment 1234162
Tunapelekwa na upepo wa KisulisuliBasi kwa mwendo huo asubiri 'wanaume kutoka mashariki, magharibi- kaskazini na kusini ... Waletwe na upepo wa kisulisuli... waletwee katika mlima wa motooooooo... wangaliwe wasichana wetu wawawoweeeee...Katika jina la ...'
Mzee hii ni bar yako nn!?
kila siku king'ole ng'ole...na bia tatu mezani....
ngoja tuje tupige beer hapo...
Haya bwn Edward A Chapa kuna siku nitakuja hapo tugonge beer za kutosha....vp kuna kitimoto hapo?Hapana ni jirani na maeneo ya home nilipokulia
Then mmiliki namjua since miaka ya 90 so ni km brother
Na nafahamiana na wahudumu karibia wote plus Manager
So nikiwa hapa najisikia Uhuru zaidi na nipo home
Ungedumu miezi 3 ningeshangaa sana na ningehisi umehamia kwenye bangeHakuna kitu kigumu kama kuacha pombe asee,nimepambana kuacha ila shida ilikua ikifika weekend nikijichanganya maeneo yetu pendwa watu wanabugia tungi mm napambana na maji!!!!daaah leo yamenishinda narudi kundini rasmi maisha ndo haya haya nimejitesa karibia miezi 2 bila tungi,acha niburudike tu
Hapa hakuna Ila karibu na Hapa kama mita 200 hivi kipo kizuri tuuHaya bwn Edward A Chapa kuna siku nitakuja hapo tugonge beer za kutosha....vp kuna kitimoto hapo?
😂😂😂😂😂😂😂😂Tunapelekwa na upepo wa KisulisuliView attachment 1234196
Hakuna kitu kigumu kama kuacha pombe asee,nimepambana kuacha ila shida ilikua ikifika weekend nikijichanganya maeneo yetu pendwa watu wanabugia tungi mm napambana na maji!!!!daaah leo yamenishinda narudi kundini rasmi maisha ndo haya haya nimejitesa karibia miezi 2 bila tungi,acha niburudike tu