....duh, tunatofautiana, hii bia igeuze jicho liwe jekundu!!!!? Bia isiyoweza hata kukufanya uteme yai kama mjukuu wa malkia!? Bia ukiangalia tarehe unagundua imetengenezwa jana inauzwa leo.
Mkuu hukunielewa. Nilianza na juice baadae usiku nikapiga vitu vya uhakika... black label safi.
NabishaLeo nipo 5N pub Mlimani City nalipa kodi mdogo mdogo View attachment 1246512View attachment 1246513
Nilikuwa hapoNabisha
Hujawahi kuniangusha...humo ulitakiwa uweke hata konyagi kidogo ingechangamka zaid
Hahahaha asili hiyo, ila konyagi hapana
Kumbe wewe dada yangu eeeh...haya nipe code wa machame,kibosho,marangu,rombo,kilema,uru au wapi??
Sinde ko clara lyundenyo wari[emoji23]Marangu mtoni
Wote ndiyo ugonjwa wetu.Ila nimegundua dawa ni mazoezi,Mimi nina wiki,hamu ikija, jioni napiga tizi,hamu ya pombe inaisha,asubuhi naamka fresh sanaWadau naombeni dawa ya kuacha pombe,mana naacha week,au 2weeks then nakuja na speed ya tren ya standard gej! Pombe,pombe,cjui umewekwa nn jmn unanimaliza kijana wawatu?
Sema nn..ngoja nkapige moko ya mwisho mwishoo![emoji51][emoji23][emoji23]
Wadau naombeni dawa ya kuacha pombe,mana naacha week,au 2weeks then nakuja na speed ya tren ya standard gej! Pombe,pombe,cjui umewekewa nn jmn unanimaliza kijana wawatu?
Sema nn..ngoja nkapige moja baridiiii ya mwisho mwishoo! Coo limeanza kuwasha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hee nyumbani...yewomii shimbonyi??Sinde ko clara lyundenyo wari[emoji23]