The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji120][emoji120][emoji8][emoji8] jirani
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
kizunguzungu...! hovyo tu
wakuu twendeni tukahudumiwee... View attachment 1167483
uko wapi mkuu nikuletee Bingwa mbili kizunguzungu kitapunguakizunguzungu...! hovyo tu
uko wapi mkuu nikuletee Bingwa mbili kizunguzungu kitapungua
Hujanijibu lakini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hii kali mkuu
Huwezi kuwa marehemu mtarajiwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...! nashukuŕu sana kuniombea heri marehem mtarajiwa mwenzangu
Sijakuelewa maana wengine hapa no daily to do list yetuKunywa pombe miaka mitano mfululizo ni shida. Kuinywa miaka kumi itakuwa mateso ya kujitakia.
Kuna pombe za aina nyingi Kiongozi. Nyingine tunainywa wote bila kupenda.Sijakuelewa maana wengine hapa no daily to do list yetu
Apumzike kwa amani tena ama mimi nimekuelewa vibayapole sana pumzika kwa amani utapona soon
Kula biere weweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au matofali yakikuangukia je?
Pole sana rafikiLeo naumwaa ila hii picha ninechrka mno jaman[emoji23][emoji23][emoji23] Sku nzima ntacheka sana jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji21][emoji119][emoji119]
Duuuh vidole lainiiiii, kama nimevishika vileee
Pole sana rafiki[emoji23][emoji23][emoji23] Wooii..niko wodini mie na midrip[emoji57][emoji57]! niliplan ijumaa niende Mza kula bata[emoji57][emoji57][emoji57]!
Hakika na pombe nayo yavutia mnooooo!Hivi kwanini matangazo ya pombe yanakua yakivutia sana?