Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.....hatarrrrr....
20190730_075300.jpeg
 
WALEVI NA WANYWAJI WENZANGU ULIPAJI WA KODI UNAENDELEAJE?

Mimi nina wazo moja tu!

Inaonekana na inafahamika mtu anapokuwa amelewa hatua za mwanzo huwa na logic ideas(fuatilia utagundua)! na huwa tunasahau hizo logic ideas au tunazizungumza mahali pasipo stahiki,Je mnaonaje tuwe tunakwenda kulewa na small notes book ili tuwe tunaandika ili hizo logic ideas zitusaidie badae?!

Hapa jamani nimelewa kwahiyo hata hili Ni logic idea!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom