Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mpaka nafika ghetto jioni ya saa kumi na moja nilikuwa nimeshapiga kili kubwa 12 na stock nikaacha bar. Nimekuja ghetto kuoga ili nirudi nikamalizie. Nimejikuta napitiwa na usingizi

saa 21:40 udingizi ukakata, mpaka sasa sijapata usingizi na sijatoka kwa sababu kuna vi Sauti viwili vina ninongoneza hapa.

Kasauti ka kwanza kinaniambia Fursa nenda umalizie kale ka stock umeacha kule.

Kasauti ka pili kananiambia Fursa usiende kesho Ijumaa ni siku ya kazi ukienda huko hutarudi wewe huwa unakeshaga huko utashindwa kwenda kazini.

Sasa hapa nimeshindwa kuamua na nikiangalia kny ka friji kangu kuna soda ya sprite na juice niliyotengeneza wiki tatu zilizo pita sijui hata kama in nzima
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom