Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
Una hatari sana Kiongoz! Utashambuliwa humu. Swali lako lipo kinyume na lengo la uzi huu!Utamu wa pombe ni upi hasa? Ladha? Au ile stimu ikishakolea..?
Una hatari sana Kiongoz! Utashambuliwa humu. Swali lako lipo kinyume na lengo la uzi huu!Utamu wa pombe ni upi hasa? Ladha? Au ile stimu ikishakolea..?
Polepole Mkuu, wakikusikia watakutundikia drip ya nyagi.[emoji849][emoji23][emoji23] Hospital ya hovyo kuwah tokea..! kakola mkuu..! eti toka yamenilaza had sasa hakuna nes alokuja..wala waniletee hata msos hakuna..wala maji..najitetemekea tu hapa..nawaangalia tu nawasubiri kwenye bili[emoji57][emoji57]!
Pole sana rafiki
Hapa wapi mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya ajali ya MorogoroView attachment 1177689
Leo hatuoni mkono?😔😔View attachment 1177994 00:22 indoor
Duuuh, kitu cha Grants.Sio mbaya Sana, View attachment 1177911
Umepona kweli?Nipo Mrogoro.....Nanenane saika lodge
Hakupo hivyo ndugu,Uwe makini sana na hiyo bar inajaa sana, na kuna watoto wa mbwa wale wa mabibo, manzese, mburahati etc.. especially kama ni mtu wa kunywa mpaka late hours. Kama uko pekeyako usiache bia alafu uje uinywe, maliza kabisa ukija ufungue nyingine mpya... na kuna siku zilishawahi kulia hapo wazee wa kazi walikuja kuchukua chao...
Mkuu ukijibiwa nitag na Mimi. Hapo ni muhimu kwenda kuichangia serikali kwa kulipa kodi!Hapa wapi mkuu.
Hahahaha, The Luxe iko mitaan Fulani hivi mikocheniMkuu ukijibiwa nitag na Mimi. Hapo ni muhimu kwenda kuichangia serikali kwa kulipa kodi!
Hakika panafaa kuchangia kodiHahahaha, The Luxe iko mitaan Fulani hivi mikocheni