Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,217
Vyote aiseeeUtamu wa pombe ni upi hasa? Ladha? Au ile stimu ikishakolea..?
Vyote aiseeeUtamu wa pombe ni upi hasa? Ladha? Au ile stimu ikishakolea..?
Mixer mchuzi au macho yangu tu.
Ngoja nimtumie wassap uko[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimeona mkono tu [emoji41]
Hivi kwanini matangazo ya pombe yanakua yakivutia sana?
🤣🤣🤣🤣Aiseee😂😂😂..Ntapona ghafla...jion ya kesho nakuwa nishawasili Chato kula pilau lamsiba mie
Vyote aiseee
Jirani hii week mbaya kwangu nipo kwenye doseJiran nipo hapa collubus, ama mapema sana??
Kama napajua hapa🤔🤔Ijumaa mubashara kabisa View attachment 1176559
Jirani hii week mbaya kwangu nipo kwenye dose
Aisee nilijua upo mbugani mwenyeji kaja kukukaribisha hapo😂😂View attachment 1176603
Hichi kichupa changu nakipenda sana, popote nilipo kipo...weekend imeanza collubus hotel aliye karibu aje kuna neema
Asante jirani yangu nipone na tukae viti virefu [emoji847]Pole sana jirani, nakuombea umalize dose na kupona kabisa jirani yangu
Asante jirani yangu nipone na tukae viti virefu [emoji847]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kabisa jirani viti virefu vinatuhusu, pona haraka [emoji120]
Vp hali yako kwa sasa mkuu😂😂😂😂😂😂😂...! nashukuŕu sana kuniombea heri marehem mtarajiwa mwenzangu
kizunguzungu...! hovyo tuVp hali yako kwa sasa mkuu