Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,151
One day nikiwa pale nitakushtuaUngenistua ndugu,pale ndio Kilingeni kwetu
One day nikiwa pale nitakushtuaUngenistua ndugu,pale ndio Kilingeni kwetu
Hadi nimechekaIpo Mabibo Relini
Kama Unatokea kigogo Mwisho, unapita Loyola, Mabibo Mwisho stand unanyoosha km unaelekea ubungo maziwa, ukivuka reli tu mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Big Brother au kona, Unakuja mpaka Chuo cha Usafirishaji NIT unapita mbele kuna Petrol station [emoji579] Unakunja kulia unavuka reli mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea ubungo stand kupita njia ya ubungo maziwa ukishavuka Ile njia panda ya kuelekea external na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Mabibo Makaburi, external au Riverside Unakuja mpaka mataa ya external Unapitia hiyo njia yenye madaraja mawili barabara ya Shungashunga njia panda ya kuelekea ubungo maziwa na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu,unakunja kulia, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
manengelo aina hiii huwa nahisi mapovu yananikaba koo😂😂😂Nipo Kamche's Pub Mwenge opposite naangalia Full Gospel Bible Fellowship Kwa mzee Kakobe View attachment 1173757
Mie hizo pia Siwez kbsaaa...chachuz!manengelo aina hiii huwa nahisi mapovu yananikaba koo😂😂😂
Leo naumwaa ila hii picha ninechrka mno jaman😂😂😂 Sku nzima ntacheka sana jaman😂😂😂😂😂😣🙌🙌
Leo naumwaa ila hii picha ninechrka mno jaman[emoji23][emoji23][emoji23] Sku nzima ntacheka sana jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji21][emoji119][emoji119]
Ni mbaya mnooMie hizo pia Siwez kbsaaa...chachuz!
Ugua pole mamyLeo naumwaa ila hii picha ninechrka mno jaman😂😂😂 Sku nzima ntacheka sana jaman😂😂😂😂😂😣🙌🙌
Asante lovUgua pole mamy
Uwe makini sana na hiyo bar inajaa sana, na kuna watoto wa mbwa wale wa mabibo, manzese, mburahati etc.. especially kama ni mtu wa kunywa mpaka late hours. Kama uko pekeyako usiache bia alafu uje uinywe, maliza kabisa ukija ufungue nyingine mpya... na kuna siku zilishawahi kulia hapo wazee wa kazi walikuja kuchukua chao...
View attachment 1175652 Nyumbani park
Ni mbaya mnoo
Me ni mwendo wa dry tu
Daaaaa mamake...imooooo nimeona na nimekubaliiView attachment 1175652 Nyumbani park